Franz Schubert
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Franz (Peter) Schubert (alizaliwa mjini Vienna, 31 Januari 1797 na kufariki Vienna 19 Novemba 1828) alikuwa mtunzi wa Opera wa Kiaustria. Ingawa kafariki dunia akiwa na umri wa maiaka 31 lakini alitunga zaidi ya nyimbo elfu moja.
Na inaamika kwamba kazi zake ni miongoni mwa kazi bora ziliwahi kutungwa. Alitunga ala nzuri zenye kupendeza. Kulikuwa na watunzi wengi wakubwa waliowahi kuishi mjini Vienna: Haydn, Mozart na Beethoven, lakini Schubert ni yeye peke yake aliyelzaliwa mjini Vienna. Schuber alikuwa ndiyo mtunzi mkubwa wa mwisho wa muziki wa klasiki na Romantic music.
Viungo vya nje [hariri]
- Franz Schubert discography katika MusicBrainz
- Franz Schubert katika Internet Broadway Database
- Franz Schubert kwenye Internet Movie Database
- Catalogue of Works by Franz Schubert
- Digital reproductions of score manuscripts and letters by Franz Schubert
- Franz Peter Schubert: Master of Song
- Notes on Franz Schubert by pianist Bart Berman
- The Schubert Institute (UK), detailed time-line, biography, work list and (flawed) family tree
- The Schubert Society of the USA
- The Franz Schubert Society of Victoria
- Franz-Schubert-Institut in Baden bei Wien
- Shughuli au kuhusu Franz Schubert katika maktaba ya WorldCat catalog
Rekord zake na baadhi ya MIDI faili [hariri]
- Recordings of all works by Schubert for piano and violin
- Schubert cylinder recordings, from the Cylinder Preservation and Digitization Project at the University of California, Santa Barbara Library.
- Selected Lieder (MIDI)
- Kunst der Fuge: Franz Schubert - MIDI files
Nakala za muziki wake [hariri]
- www.kreusch-sheet-music.net Schubert's Piano Works
- http://www.schubertline.co.uk - about 250 of Schubert's Songs (Schubertline edition)
- Franz Schubert ame orodheshwa katika International Music Score Library Project
- Free scores by Franz Schubert katika Choral Public Domain Library (ChoralWiki)
- Free scores by Franz Schubert katika Werner Icking Music Archive (WIMA)
- Works by Franz Schubert katika Project Gutenberg
- Schubert's Sheet Music by Mutopia Project
- Lieder sheet music
