Vincenzo Bellini
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vincenzo Bellini (3 Novemba 1801 - 23 Septemba 1835) alikuwa mtunzi aliyemaarufu kwa Opera kutoka nchi ya Italia. Alikuwa mmoja kati ya watunzi muhimu wa Opera kwa karne ya 19. Aliwapatia waimbaji wake ala nzuri za kuimba na huku mwenyewe akiwa anatoa msaada wake wa kibendi.
[hariri] Viungo vya nje
- Profile of Bellini
- Biography of Bellini
- Bellini cylinder recordings, from the Cylinder Preservation and Digitization Project at the University of California, Santa Barbara Library.
- Free scores by Vincenzo Bellini katika Werner Icking Music Archive (WIMA)
- Teatro Massimo Bellini, Catania

