Edward Elgar
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sir Edward William Elgar (2 Juni, 1857 - 23 Februari, 1934) alikuwa mtunzi maarufu wa Opera kutoka nchini Uingereza.
Baba wa Elgar alikuwa akimiliki duka la kuuza vyombo vya muziki. Mbali na kusomea mambo ya kupiga zeze (la kizungu, yaani "violin"), Elgar pia alijifunza mwenyewe namna ya kufanya muziki. Pia alijifunza namna ya kuchapisha-kuandika muziki katika duka la babake na mara nyingi walikuwa wakisafiri wote katika safari za mzee wake alipokuwa akienda kuseti vinanda kwa wateja walionunua.
Mwaka wa 1904 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza. Mwaka wa 1924 alitangazwa kuwa Mkuu wa Muziki ya Mfalme ("Master of the King's Musick").
[hariri] Viungo vya nje
- The Elgar Society and The Elgar Foundation
- The Elgar Birthplace Museum
- Sir Edward Elgar, Bt (1857-1934), Composer (National Portrait Gallery)
- Free scores by Edward Elgar katika Choral Public Domain Library (ChoralWiki)
- Free scores na Edward Elgar kwenye Werner Icking Music Archive (WIMA)
- Claines Church where Elgar's maternal grandparents are buried
- A detailed chronology of Elgar's works with information and articles to all works, by The Elgar Society
- Newsreel film of Elgar speaking, then conducting the trio of his Pomp and Circumstance March No 1 at the opening of EMI's Abbey Road studios, 12 November 1931
- Elgar's Ave, Maria and Give unto the Lord Free downloadable recording from Coro Nostro, Leicester
- Elgar's life and recordings
- NimrodTippett rehearses the Leicestershire Schools Symphony Orchestra
- CockaigneTippett rehearses the Leicestershire Schools Symphony Orchestra
- YouTube Julian Lloyd Webber plays Elgar's Cello Concerto
- 'The Growing Significance of Elgar', lecture by Simon Mundy given at Gresham College on 29 June 2007
- Spetchley Park where Elgar often stayed and composed, specifically the Dream of Gerontius
- Flickr images tagged Elgar & Spetchley
- Films of Elgar: black and white silent movies 1. Elgar conducting; 2. & 3. Elgar with his dogs Marco and Mina; 4. Outside Hereford Cathedral (can you lip read?); 5. Kite flying in the Malvern Hills
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Edward Elgar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |