Johannes Brahms
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Johannes Brahms (7 Mei 1833 Hamburg - 3 Aprili 1897 Vienna) alikuwa mtungaji wa muziki kutoka nchi ya Ujerumani. Alizaliwa katika familia ya wanamuziki alianza kutunga muziki kwa ajili ya piano. Baadaye aliendelea kutunga simfonia 4 halafu muziki ndogondogo.
Nje ya kutunga muziki alipiga piano na watu walipenda kumsikiliza.

