Mily Balakirev
Kutoka Wikipedia
Mily Alexanyevich Balakirev (alizaliwa mjini Nizhny-Novgorod 2 Januari 1837 - St. Petersburg 29 Mei 1910) alikuwa mtunzi aliyemaarufu kwa Opera kutoka nchini Urusi. Mara nyingi alikuwa akitunga nyimbo kwa ajili ya orchestra, kwaya na piano na nyimbo pekee. Vilevile anasifika kwa kutunga nyimbo nyingi zenye kusifia utaifa wa Urusi.
[hariri] Viungo vya nje
- www.kreusch-sheet-music.net - Free Scores by Balakirev
- Islamey Article
- Mily Balakirev ame orodheshwa katika International Music Score Library Project


