Hector Berlioz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hector Berlioz.
Hector Berlioz.

Hector Berlioz (11 Desemba 1803 - Paris 8 Machi 1869) alikuwa mtunzi maarufu wa opera kutoka nchini Ufaransa. Alikuwa moja kati ya watunzi wakubwa wa opera wa karne ya 19. Miziki yake pia ilikuwa ya kipindi maarufu cha kukaribisha karne mpya, yaani karne ya 18 kwenda 19 au kwa jina lililo maarufu ni Romantic period.

[hariri] Viungo vya nje

WikiMedia Commons


Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber
Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Hector Berlioz" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Hector Berlioz kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi