Gustav Mahler

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gustav Mahler kunako miaka ya 1909.

Gustav Mahler (7 Julai 186018 Mei 1911) alikuwa mtunzi wa Opera na mwelekezi wa Kibohemia-Kiaustria. Mahler alipata kufahamika sana wakati wa uhai wake kwa kuwa kama mwelekezi wa mabendi yaani kondakta wa muziki. Pia akawa mmoja kati ya waliopata kufahamika katika kipindi cha Romantic, ingawaje muziki wake hauja kubalika kisawasawa katika kituo cha muziki cha mjini Vienna wakati wa uhai wake.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

  • Recordings, books and sheet music
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Orodha ya Wanamuziki wa kipindi cha Romatiki
Alkan Balakirev Beethoven Bellini Berlioz Berwald Bizet Borodin Brahms Bruckner Chopin Cui Dvořák Elgar Field Franck Glinka Grieg Liszt Mahler Mendelssohn Mussorgsky Rachmaninoff Rimsky-Korsakov Saint-Saëns Schubert Schumann Smetana Strauss Tchaikovsky Verdi Wagner Wolf Weber

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gustav Mahler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.