1860
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 18 | Karne ya 19 | Karne ya 20 | ►
◄ | Miaka ya 1830 | Miaka ya 1840 | Miaka ya 1850 | Miaka ya 1860 | Miaka ya 1870 | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | ►
◄◄ | ◄ | 1856 | 1857 | 1858 | 1859 | 1860 | 1861 | 1862 | 1863 | 1864 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1860 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1860 MDCCCLX |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5620 – 5621 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1852 – 1853 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1309 ԹՎ ՌՅԹ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1277 – 1278 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1238 – 1239 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1915 – 1916 |
| - Shaka Samvat | 1782 – 1783 |
| - Kali Yuga | 4961 – 4962 |
| Kalenda ya Kichina | 4556 – 4557 己未 – 庚申 |
- 29 Januari - Anton Chekhov, mwandishi Mrusi
- 13 Machi - Hugo Wolf, mtunzi wa opera kutoka Austria
- 20 Mei - Eduard Buchner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907)
- 21 Mei - Willem Einthoven (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1924)
- 6 Septemba - Jane Addams (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1931)
- 23 Novemba - Karl Hjalmar Branting, mwanasiasa Mswidi na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1921
- 15 Desemba - Niels Ryberg Finsen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1903)
Waliofariki [hariri]
- 31 Julai - Mtakatifu Justino de Jacobis, askofu Katoliki nchini Ethiopia
- 21 Septemba - Arthur Schopenhauer, mwanafalsafa wa Ujerumani
Wikimedia Commons ina media kuhusu: