1911
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1908 1909 1910 - 1911 - 1912 1913 1914 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 3 Januari - John Sturges, mwongozaji filamu wa Marekani
- 26 Januari - Polykarp Kusch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1955)
- 26 Machi - Bernard Katz, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1970
- 6 Aprili - Feodor Lynen, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1964
- 8 Aprili - Melvin Calvin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1961)
- 13 Juni - Luis Alvarez (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1968)
- 25 Juni - William Stein, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 30 Julai - Czeslaw Milosz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1980)
- 9 Agosti - William Fowler (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1983)
- 19 Septemba - William Golding (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1983)
- 2 Novemba - Odysseas Elytis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1979)
- 11 Novemba - Antonio Casas, mwigizaji filamu kutoka Hispania
- 11 Desemba - Nagib Mahfuz (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1988)
[hariri] Waliofariki
- 29 Oktoba - Joseph Pulitzer (mhariri wa magazeti Mmarekani, na mwanzishaji wa Tuzo ya Pulitzer)

