Odysseas Elytis
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Odysseas Elytis (2 Novemba, 1911 – 18 Machi, 1996) alikuwa mshairi kutoka nchi ya Ugiriki. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Odysseas Alepoudhelis. Mwaka wa 1979 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Odysseas Elytis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |