1913
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1880 | Miaka ya 1890 | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | ►
◄◄ | ◄ | 1909 | 1910 | 1911 | 1912 | 1913 | 1914 | 1915 | 1916 | 1917 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1913 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1913 MCMXIII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5673 – 5674 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1905 – 1906 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1362 ԹՎ ՌՅԿԲ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1331 – 1332 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1291 – 1292 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1968 – 1969 |
| - Shaka Samvat | 1835 – 1836 |
| - Kali Yuga | 5014 – 5015 |
| Kalenda ya Kichina | 4609 – 4610 壬子 – 癸丑 |
- 9 Januari - Richard Nixon, Rais wa Marekani (1969-74)
- 4 Februari - Rosa Parks, mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi
- 3 Mei - William Inge (mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1954)
- 3 Juni - Jack Cope, mwandishi wa Afrika Kusini
- 25 Juni - Aime Cesaire (mwandishi kutoka Martinique)
- 12 Julai - Willis Lamb (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1955)
- 14 Julai - Gerald Ford, Rais wa Marekani (1974-77)
- 10 Agosti - Wolfgang Paul, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
- 20 Agosti - Roger Sperry, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1981
- 4 Septemba - Stanford Moore, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1972
- 10 Oktoba - Claude Simon (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1985)
- 25 Oktoba - Klaus Barbie, mwanajeshi wa SS ya Adolf Hitler
- 7 Novemba - Albert Camus (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1957)
- 18 Desemba - Willy Brandt, Chansela wa Ujerumani (1969-1974)
Waliofariki[hariri]
- 29 Julai - Tobias Asser (mwanasheria Mholanzi, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1911)
- 12 Desemba - Menelik II, mfalme mkuu wa Uhabeshi
Wikimedia Commons ina media kuhusu: