Claude Simon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Claude-Eugène-Henri Simon (10 Oktoba, 19136 Julai, 2005) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Hasa aliandika riwaya ambazo zinahusu wakati wa vita. Mwaka wa 1985 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Claude Simon kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine