10 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 732 - Mapigano ya Tours na Poitiers (Ufaransa) - uvamizi wa Waarabu katika Ulaya ya Magharibi unasimamishwa na jeshi la Wafranki linaloongozwa na Karolo Martell. Jemadari Mwarabu Abdul Rahman Al Ghafiqi anauawa, Waarabu wanarudi Hispania.
- 1868 - Nchi ya Kuba inapata uhuru kutoka Hispania.
Waliozaliwa [hariri]
- 1861 - Fridtjof Nansen (mpelelezi na mwanasiasa Mnorwei na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1922)
- 1892 - Ivo Andric (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1961)
- 1913 - Claude Simon (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1985)
- 1930 - Harold Pinter (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 2005)
- 1930 - Yves Chauvin, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2005
- 1936 - Gerhard Ertl (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2007)
- 1948 - Benedict Kiroya Losurutia, mwanasiasa wa Tanzania
- 1998 - Nash Aguas, mwigizaji filamu kutoka Ufilipino
Waliofariki [hariri]
- 1985 - Yul Brynner, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani