Gerhard Ertl

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Gerhard Ertl

Gerhard Ertl (amezaliwa 10 Oktoba 1936) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza hali mbalimbali za usanisi. Mwaka wa 2007 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gerhard Ertl kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.