Nash Aguas
| Nash Aguas | |
|---|---|
| Amezaliwa | Aeign Zackrey Aguas 10 Oktoba 1998 Ufilipino |
| Kazi yake | Mwigizaji |
| Miaka ya kazi | 2004–hadi leo |
Nash Aguas (amezaliwa kama Aeign Zackrey Aguas mnamo tar. 10 Oktoba 1998) ni mwigizaji wa filamu na televisheni-mtoto kutoka nchini Ufilipino. Huenda akawa anafahamika zaidi kwa kucheza kama Peping katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha Kifilipino maarufu kama Gulong ng Palad.
Yaliyomo |
Wasifu [hariri]
Shughuli [hariri]
Nash alianza kuonekana kwa mara ya kwanza kwenye televisheni, ni baada ya kushiriki katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mkali wa MTB kupitia Batang F4.[1] Aliingia rasmi katika shughuli za uigizaji ni baada ya kujiunga katika mashindano ya kipinid cha TV cha kutafuta watoto wenye vipaji vya uigizaji cha ABS-CBN maarufu kama Star Circle Kid Quest, ambamo alijiigiza kama Mr. Suave Mdogo.[1]
Alionyesha uwezo na uchangamfu mkubwa na kupelekea kupata kura za Bibbo Kid Of The Week mara kedekede. Kitendo cha kuwa na uwezo, yaani (kipaji, maarifa, mwonekano, na ucheshi wake), kumemfanya ashinde taji la Grand Kid Questor na pia kuchukua zawadi maalum kibao katika maonyesho ya vipindi.[1].
Filamu [hariri]
Televisheni [hariri]
| Mwaka | Jina | Jina aliliotumia | Mtandao |
|---|---|---|---|
| 2004 | Star Circle Quest | kama jina lake/mshindani | ABS-CBN |
| Mga Anghel Na Walang Langit | ABS-CBN | ||
| 2005 | Gulong ng Palad | Peping | ABS-CBN |
| 2005-present | Goin' Bulilit | kama jina lake | ABS-CBN |
| 2006 | Calla Lily | Terrence | ABS-CBN |
| Komiks Presents: Vulcan 5 | Boyet | ABS-CBN | |
| Komiks Presents: Inday sa Balitaw | Boyong | ABS-CBN | |
| 2007 | Maria Flordeluna | Reneboy Alicante | ABS-CBN |
| Sineserye Presents: Natutulog Ba Ang Diyos? | Mark mdogo | ABS-CBN | |
| 2008 | Lobo | Tikboy | ABS-CBN |
Filamu za kawaida [hariri]
| Mwaka | Jina | Jina alilotumia | Kampuni |
|---|---|---|---|
| 2005 | Hari ng Sablay | Jay-jay | |
| Happily Ever After | Leeboy | ||
| 2006 | Shake, Rattle & Roll 8: "Yaya" | Benjo | Regal Films |
| 2007 | Shake, Rattle and Roll 9: "Christmas Tree" | Stephen | Regal Films |
| Angels | |||
| Tiyanaks | Biboy | ||
| 2008 | Dayo | Sauti ya Bubuy | |
| 2009[2] | Land Down Under | TBA |
Muziki [hariri]
Albamu ya Dansi [hariri]
- Jump Around: Albamu ya Dansi ya Watoto ya Moose Gear[3]
Tuzo [hariri]
- 2006 Metro Manila Film Festival, Mwigizaji Bora wa Kitoto kwa kucheza katika Shake, Rattle & Roll 8: "Yaya" [4]
Marejeo [hariri]
- ↑ 1.0 1.1 1.2 Nash Aguas. Bulilit Spotlight. Goin' Bulilit Online. Rudishwa juu ya 2008-06-29.
- ↑ Salut, Eric John (2008-11-03). Staff ng ‘The Buzz,’ pumalag sa ‘Showbiz Central’ (Tagalog). People's Tonight. Journal Online. Rudishwa juu ya 2008-11-04.
- ↑ Dimaculangan, Jocelyn (2008-07-11). PEP Promo: "Moose Kids dance album". Entertainment Guide/Music. The Philippine Entertainment Portal. Rudishwa juu ya 2008-06-29.
- ↑ Dimaculangan, Jocelyn (2008-07-11). "Shake, Rattle and Roll 9" frightens the public anew December 25. Entertainment Guide/Movies. The Philippine Entertainment Portal. Rudishwa juu ya 2008-06-29.