23 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1835 - Adlai Stevenson, Kaimu Rais wa Marekani (1893-97)
- 1844 - Sarah Bernhardt, mwigizaji tamthilia kutoka Ufaransa
- 1905 - Felix Bloch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1952)
- 1908 - Ilya Frank (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
[hariri] Waliofariki
- 472 - Olybrius, Kaisari wa Dola la Roma Magharibi
- 1456 - Mtakatifu Yohane wa Kapestrano, mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo kutoka Italia
- 1892 - Emin Pasha, daktari na mwanasiasa Mjerumani aliyefanya kazi katika Milki ya Osmani
- 1944 - Charles Glover Barkla (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1917)
- 1986 - Edward Doisy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1943)
- 2010 - George Cain, mwandishi wa Marekani