24 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 51 - Domitian, Kaisari wa Roma (hadi 96)
- 1932 - Pierre de Gennes (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1991)
- 1943 - Joseph James Mungai, mwanasiasa wa Tanzania
- 1948 - Mike Laizer, mwanasiasa wa Tanzania
- 1954 - Wahome Mutahi, mwandishi kutoka Kenya
- 1980 - Lucy Komba, mwigizaji wa filamu kutoka Tanzania
Waliofariki [hariri]
- 1601 - Tycho Brahe, mwanafalaki kutoka Denmark
- 2005 - Rosa Parks, mwanaharakati dhidi ya ubaguzi wa rangi
- 2007 - Salome Joseph Mbatia, mwanasiasa wa kike kutoka Tanzania