Raymond Mwanyika
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Raymond Mwanyika (amezaliwa mwaka wa 1930) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka wa 1971. Tangu mwaka huo hadi 2002, alikuwa askofu wa Jimbo la Njombe, alipojiuzulu.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Raymond Mwanyika kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |