Domitian
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Titus Flavius Domitianus (24 Oktoba, 51 – 18 Septemba, 96) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 14 Septemba, 81 hadi kifo chake. Alimfuata kaka yake Titus.
| Makala hiyo kuhusu "Domitian" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Domitian kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

