Wahome Mutahi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wahome Mutahi (24 Oktoba 195422 Julai 2003) alikuwa mwandishi mpendwa sana katika Kenya. Aliitwa Whispers kama jina la "column" aliyoiandika kwa The Daily Nation.

Aliandika pia tamthilia na vitabu. Alikuwa mtu mwenye siasa, na mhakiki mkali, lakini kila wakati alitumia ucheshi.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]