Siriaki na Klaudiani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Siriaki na Klaudiani (walifariki Hierapoli, Frigia, katika Uturuki ya leo) ni Wakristo waliouawa katika dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 24 Oktoba[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.