1986
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | Miaka ya 1970 | Miaka ya 1980 | Miaka ya 1990 | Miaka ya 2000 | Miaka ya 2010
◄◄ | ◄ | 1982 | 1983 | 1984 | 1985 | 1986 | 1987 | 1988 | 1989 | 1990 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1986 BK (Baada ya Kristo).
Matukio [hariri]
- 25 Aprili - Mswati III wa Uswazi amepewa utawala wa kifalme.
Waliozaliwa [hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1986 MCMLXXXVI |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5746 – 5747 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1978 – 1979 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1435 ԹՎ ՌՆԼԵ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1407 – 1408 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1364 – 1365 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 2041 – 2042 |
| - Shaka Samvat | 1908 – 1909 |
| - Kali Yuga | 5087 – 5088 |
| Kalenda ya Kichina | 4682 – 4683 乙丑 – 丙寅 |
- 11 Machi - Evans Wadongo, mhandisi wa Kenya
- 13 Machi - Nina Sky, wanamuziki mapacha kutoka Marekani
- 7 Agosti - Nancy Sumari, Mrembo wa Tanzania, mwaka wa 2005
- 21 Agosti - Usain Bolt, mwanariadha kutoka Jamaika
- 26 Septemba - Brooke Allison, mwimbaji kutoka Marekani
bila tarehe
- Fredinah Peyton, mwanamuziki kutoka Tanzania
- Nasreem Ndiye, Miss Tanzania 2008
Waliofariki [hariri]
- 10 Januari - Jaroslav Seifert (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1984)
- 17 Aprili – Bessie Head, mwandishi wa Afrika Kusini na Botswana
- 9 Mei - Tenzing Norgay, mpelelezi kutoka Nepal
- 31 Mei - James Rainwater (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1975)
- 14 Juni - Jorge Luis Borges, mwandishi kutoka Argentina
- 24 Julai - Fritz Lipmann (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1953)
- 25 Septemba - Nikolay Semyonov (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1956)
- 22 Oktoba - Albert Szent-Györgyi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1937)
- 23 Oktoba - Edward Doisy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1943)
- 31 Oktoba - Robert Mulliken, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1966
Wikimedia Commons ina media kuhusu: