Joseph James Mungai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Joseph James Mungai (amezaliwa tar. 24 Oktoba 1943) ni mbunge wa jimbo la Mufindi Kaskazini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia[hariri]

Marejeo[hariri]

  1. Mengi kuhusu Joseph James Mungai (1 Februari 2007). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.