22 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1303 - Uchaguzi wa Papa Benedikto XI
Waliozaliwa [hariri]
- 1870 - Ivan Bunin (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1933)
- 1881 - Clinton Davisson (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937)
- 1903 - George Beadle (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1958)
- 1919 - Doris Lessing, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 2007
- 1973 - Ichiro Suzuki, mchezaji wa baseball kutoka Japani
Waliofariki [hariri]
- 1986 - Albert Szent-Györgyi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1937)
- 1990 - Louis Althusser, mwanafalsafa wa Ufaransa