Albert Szent-Györgyi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Albert Szent-Györgyi (16 Septemba, 189322 Oktoba, 1986) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Hungaria. Pamoja na nchi yake ya kuzaliwa alifanya kazi katika nchi mbalimbali kama Uholanzi, Ujerumani, Uingereza na Marekani. Alichunguza mambo mengi ya biokemia, na anajulikana hasa kwa utafiti wake wa vitamini C. Mwaka wa 1937 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Albert Szent-Györgyi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Albert Szent-Györgyi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.

Vifaa binafsi