1937
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Karne ya 19 | Karne ya 20 | Karne ya 21
◄ | Miaka ya 1900 | Miaka ya 1910 | Miaka ya 1920 | Miaka ya 1930 | Miaka ya 1940 | Miaka ya 1950 | Miaka ya 1960 | ►
◄◄ | ◄ | 1933 | 1934 | 1935 | 1936 | 1937 | 1938 | 1939 | 1940 | 1941 | ► | ►►
Makala hii inahusu mwaka 1937 BK (Baada ya Kristo).
Matukio[hariri]
Waliozaliwa[hariri]
| Kalenda ya Gregori | 1937 MCMXXXVII |
| Kalenda ya Kiyahudi | 5697 – 5698 |
| Kalenda ya Ethiopia | 1929 – 1930 |
| Kalenda ya Kiarmenia | 1386 ԹՎ ՌՅՁԶ |
| Kalenda ya Kiislamu | 1356 – 1357 |
| Kalenda ya Kiajemi | 1315 – 1316 |
| Kalenda ya Kihindu | |
| - Vikram Samvat | 1992 – 1993 |
| - Shaka Samvat | 1859 – 1860 |
| - Kali Yuga | 5038 – 5039 |
| Kalenda ya Kichina | 4633 – 4634 丙子 – 丁丑 |
- 20 Februari - Robert Huber, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1988
- 2 Machi - Abdelaziz Bouteflika, Rais wa Algeria
- 5 Machi - Olusegun Obasanjo, Rais wa Nigeria 1976-79 na 1999-2007
- 1 Juni - Morgan Freeman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 23 Juni - Martti Ahtasaari, Rais wa Ufini (1994-2000), na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 2008
- 26 Juni - Robert Richardson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1996
- 6 Julai – Bessie Head, mwandishi wa Afrika Kusini na Botswana
- 18 Julai - Roald Hoffmann, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1981
- 8 Agosti - Dustin Hoffman, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 30 Oktoba - Seraphino Antao, mwanariadha kutoka Kenya
- 31 Desemba - Avram Hershko, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2004
bila tarehe
- Edward Tingatinga, msanii kutoka Tanzania
Waliofariki[hariri]
- 7 Februari - Elihu Root (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1912)
- 16 Machi - Austen Chamberlain (mwanasiasa Mwingereza na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1925)
- 11 Julai - George Gershwin (mtungaji wa muziki Mmarekani)
- 20 Julai - Guglielmo Marconi (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1909)
- 19 Oktoba - Ernest Rutherford (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1908)
- 9 Desemba - Nils Dalen (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1912)
- 21 Desemba - Frank Kellogg (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1929)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: