Robert Huber

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Robert Huber

Robert Huber (amezaliwa 20 Februari 1937) ni mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza elimu ya fuwele. Mwaka wa 1988, pamoja na Johann Deisenhofer na Hartmut Michel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Robert Huber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.