Roald Hoffmann

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Roald Hoffmann

Roald Hoffmann (amezaliwa 18 Julai, 1937) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani akiwa amezaliwa nchini Poland. Hasa alichunguza utaratibu wa athari za kikemia. Mwaka wa 1981, pamoja na Kenichi Fukui alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Tuzo Nobel.png Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roald Hoffmann kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine