Austen Chamberlain

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Austen Chamberlain

Austen Chamberlain (16 Oktoba, 186316 Machi, 1937) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Uingereza. Kuanzia 1924 hadi 1929 alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje. Mwaka wa 1925, pamoja na Charles Dawes alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani kwa ajili ya kazi yake ya kupitisha Maafikiano ya Lokarno.

Administradors.gif Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Austen Chamberlain kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine