Charles Dawes

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png
Charles Dawes

Charles Gates Dawes (27 Agosti, 186523 Aprili, 1951) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Kuanzia 1925 hadi 1929 alikuwa Kaimu Rais chini ya Rais Calvin Coolidge. Mwaka wa 1925, pamoja na Austen Chamberlain alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.


Administradors.gif Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Charles Dawes kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine