1865
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1862 1863 1864 - 1865 - 1866 1867 1868 |
[hariri] Matukio
[hariri] Waliozaliwa
- 1 Aprili - Richard Zsigmondy (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1925)
- 25 Mei - Pieter Zeeman, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1902
- 13 Juni - William Butler Yeats (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1923)
- 27 Agosti - Charles Dawes (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1925)
- 12 Oktoba - Arthur Harden (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1929)
- 30 Desemba - Rudyard Kipling (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1907)
[hariri] Waliofariki
- 15 Aprili - Abraham Lincoln, Rais wa Marekani (1861-65)

