27 Agosti
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jul - Agosti - Sep | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
Waliozaliwa [hariri]
- 1809 - Hannibal Hamlin, Kaimu Rais wa Marekani (1861-1865)
- 1865 - Charles Gates Dawes (mwanasiasa Mmarekani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1925)
- 1874 - Carl Bosch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia, mwaka wa 1931)
- 1908 - Lyndon B. Johnson, Rais wa Marekani (1963-69)
- 1915 - Norman Ramsey, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1989
- 1928 - Mangosuthu Buthelezi, kiongozi wa Kizulu na mwanasiasa kutoka Afrika Kusini
- 1928 - Osamu Shimomura (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2008)
Waliofariki [hariri]
- 827 - Papa Eugenio II
- 1590 - Papa Sixtus V
- 1958 - Ernest Orlando Lawrence (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1939)
- 1965 - Le Corbusier, msanifu majengo kutoka Ufaransa
- 1975 - Haile Selassie, Mafalme Mkuu wa Ethiopia