Papa Sixtus V
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Papa Sixtus V (13 Desemba, 1521 – 27 Agosti, 1590) alikuwa papa kuanzia 24 Aprili, 1585 hadi kifo chake. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Felice Peretti. Alimfuata Papa Gregori XIII.
[hariri] Viungo vya nje
Papa Sixtus V katika Kamusi Elezo ya Kikatoliki
| Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Sixtus V kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
