Monika
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Monika (Tagaste, Numidia, leo Algeria 332 - Ostia, kitongoji cha Roma, Italia, 387) alikuwa mwanamke wa kabila la Kiafrika la Waberberi na mke wa Patricius, afisa wa Dola la Roma.
Ni maarufu hasa kutokana na sifa alizomwagiwa na mwanae Agostino wa Hippo katika kitabu cha Maungamo (Confessiones).
Anaheshimiwa na madhehebu mbalimbali ya Ukristo kama mtakatifu, hasa tarehe 27 Agosti au 4 Mei.
Marejeo kwa Kiswahili [hariri]
- M. CULLEN, O.S.A., Maungamo ya Mtakatifu Augustino kwa Muhtasari – tafsiri ya E. Msigala, O.S.A. - ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Ndanda – ISBN 9976-63-643-1
- M. CULLEN, O.S.A., Mtakatifu Monika: Mlinzi wa Akina Mama Wakristu – tafsiri ya E. Msigala, O.S.A. - ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Ndanda 2002 – ISBN 9976-63-641-5
Marejeo mengine [hariri]
- Peter Brown, Augustine of Hippo: A Biography. New edition with an epilogue, Berkeley, University of California Press, c2000
- Everett Ferguson, Encyclopedia of Early Christianity, Taylor & Francis, 1998, p. 776
- John J. O'Meara, The Young Augustine:the growth of St. Augustine's mind up to his conversion, London, Longmans, Green and Co, 1954
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- The Life of St. Monica, Mother of Saint Augustine of Hippo
- St. Monica
- Saint Monica
"St. Monica". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Monika kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |