Catholic Encyclopedia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Catholic Encyclopedia, au Old Catholic Encyclopedia au Original Catholic Encyclopedia,[1] ni kamusi elezo ya Kiingereza kutoka Marekani ambayo inafafanua vidahizo kuhusu Kanisa Katoliki.

Gombo la kwanza lilitolewa mnamo Machi 1907. [2][3]. Toleo hili linapatikana katika intaneti kwa wasomaji wote.

[hariri] Tanbihi

  1. The Original Catholic Encyclopedia. Catholic Answers. Rudishwa juu ya 2011-07-21.
  2. Preface to the Catholic Encyclopedia
  3. Scan of "Preface". Catholic Answers. Rudishwa juu ya 6 September 2010.

[hariri] Viungo vya nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine