Intaneti
Kutoka Wikipedia
Intaneti ni mtandao wa kompyuta unaowezesha kompyuta mbalimbali duniani kuwa kuwasiliana. Kupitia mtandao huu, watu huweza kutembea webu mbalimbali, kupiga gumzo, na kuandikiana barua pepe.
[hariri] Ona pia
[hariri] Viungo vya Nje
Orodha ya maneno ya tarakishi ya mradi wa Kilinux kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
| Makala hiyo kuhusu "Intaneti" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Intaneti kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

