Kamusi elezo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kamusi elezo ni kitabu kinachokusanya ujuzi wote wa ubinadamu. Siku hizi, Wikipedia ni kamusi elezo kubwa zaidi duniani. Zamani (kabla ya uumbaji wa Wikipedia) Encyclopedia Britannica ilikuwa kamusi elezo kubwa zaidi duniani.

