Tarakilishi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kompyuta ya kisasa (kwa Kiingereza personal computer au PC) :
  1. Kiwamba (skrini)
  2. Bao kuu
  3. CPU (bongo kuu)
  4. RAM (Kumbukumbu ya muda)
  5. Kadi za nyongeza kama vile kadi mchoro n.k.
  6. Ugawi wa umeme
  7. Kiendeshi CD
  8. Kiendeshi diski kuu (HDD - kumbukumbu)
  9. Baobonye
  10. Puku

Tarakilishi (pia: tarakishi, kompyuta) ni mashine inayotumia data kwa njia tofauti kutokana na maagizo zilizoandikwa kwenye bidhaa pepe (kwa Kiingereza software).

Maneno Kompyuta na Ngamizi yanaweza kutumika badala Tarakishi.

[hariri] Viungo vya nje

Science-symbol-2.svg Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tarakilishi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Lugha nyingine