Hesabu
Kutoka Wikipedia
Hesabu ni somo linalohusika na idadi na jinsi tunavyoweza kuhesabu kwa kutumia kanuni zifuatazo: Kujumlisha, kutoa, kuzidisha na kugawa.
Hesabu ni sehemu ya hisabati.
| Makala hiyo kuhusu "Hesabu" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri". Ikiwepo makala kuhusu Hesabu kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili. |

