Guangzhou
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Guangzhou | |
| Nchi | China |
|---|---|
| Jimbo | Guangdong |
| Idadi ya wakazi | |
| - Mji | 7,607,200 |
| Website: www.gz.gov.cn | |
Guangzhou (Canton, 广州) ndiyo mji mkuu katika jimbo la Guangdong. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao milioni 9.8 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 11 kutoka juu ya usawa wa bahari.
| Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Guangzhou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |