Kiambishi awali
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiambishi awali ni neno au maneno yanayokaa kabla ya mzizi wa neno,mfano neno ,wanavyolimiwa,neno hili hili mzizi mzizi wake ni L, na shina hapo ni Lima,maneno yanayoonesha viambaishi awali "vinavyofanyakazi" kama ifuatavyo:
- A=inaonesha kiambaishi awali nafsi ya pili umoja kiwakilishi cha ngeli ya YU-AWA
- NA=inaonseha kiambishi awali njeo wakati uliopo
- VYO=Inaonesha kiambishi awali ureshi wa mtenda
- L=Mzizi wa neno
- Lima=SHina la neno
- LIMIWA=NI shina mnyumbuliko
Kahiyo hiyo ndio dhana ya kutambua viambaishi awali katika tungo.
[hariri] Tazama pia
[hariri] Viungo vya Nje
- comprehensive reference for English prefixes and suffixes
- more about English language prefixes and affixes in general
| Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiambishi awali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |