Tunis
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jiji la Tunis | |
| Nchi | Tunisia |
|---|---|
Tunis (Kiarabu: تونس ) ni mji mkuu wa Tunisia na mji mkubwa nchini ikiwa na wakazi 728,463 (mwaka 2004) ambao pamoja na wakazi wa mitaa ya nje wanafikia jumla ya milioni 1.6.
Mji uko ufukoni wa Mediteranea karibu na Karthago ya Kale.
Viungo vya Nje[hariri]
- Lexicorient
- Video tour ya makumbusho ya Bardo
- Video of Tunis Medina
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Tunis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |