Kihispania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Kihispania ("Español") ni lugha ya kimatifa ambacho ni lugha ya kwanza kwa milioni 500; kwa jumla pamoja na wasemaji wa Kihispania kama lugha ya pili kuna milioni 600 duniani wanaosema Kihispania.

Asili ya lugha ni katika nchi ya Hispania (Ulaya) lakini kutokana na historia ya ukoloni na biashara lugha imesambaa sana hasa Amerika ya Kusini.

Yaliyomo

Nchi zinazotumia Kihispania kama lugha rasmi [hariri]

Amerika ya Kati na Karibi [hariri]

Amerika ya Kusini [hariri]

Afrika [hariri]

Nchi penye wasemaji wengi wa Kihispania [hariri]

  • Nchini Marekani Kihispania ni lugha ya pili baada ya Kiingereza hasa katika majimbo ya Kusini zilizikuwa zamani sehemu za Mexiko.
  • Ufilipino kwa sababu ilikuwa koloni ya Hispania

Historia ya lugha [hariri]

Asili ya Kihispania ni lugha ya Kilatini ya Waroma wa Kale. Kati ya lugha za Kirumi Kishispania ni lugha ya kisasa ambayo ni karibu zaidi na lugha ya kale.

Map-Hispano.png

Viungo vya nje [hariri]