29 Oktoba
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sep - Oktoba - Nov | ||||||
| 1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
| 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
| 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
| 22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
| 29 | 30 | 31 | ||||
| Kalenda ya Gregori | ||||||
Matukio [hariri]
- 1591 - Uchaguzi wa Papa Innocent IX
- 1947 - Gazeti la Şalom limeanzishwa mjini Istanbul.
Waliozaliwa [hariri]
- 1920 - Baruj Benacerraf, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1980
Waliofariki [hariri]
- 1911 - Joseph Pulitzer (mhariri wa magazeti Mmarekani, na mwanzishaji wa Tuzo ya Pulitzer)
- 1950 - Mfalme Gustaf V wa Sweden
- 1971 - Arne Tiselius (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1948)