1971
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Miaka: | 1968 1969 1970 - 1971 - 1972 1973 1974 |
[hariri] Matukio
- 26 Machi - Nchi ya Bangla Desh inatangaza uhuru wake kutoka Pakistan.
- 15 Agosti - Nchi ya Bahrain inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 25 Oktoba - Mkutano mkuu wa Umoja wa Mataifa uliamua ya kuwa Jamhuri ya Watu wa China ni mwakilishi halisi wa China kwenye UM, na Jamhuri ya China ilifukuzwa hivyo.
- 16 Desemba - Nchi ya Bangla Desh inashinda vita na kupata uhuru kutoka Pakistan.
[hariri] Waliozaliwa
- 17 Februari - Denise Richards, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 4 Juni - Joseph Kabila, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
- 5 Juni - Mark Wahlberg, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 19 Septemba - Sanaa Lathan, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
[hariri] Waliofariki
- 26 Februari - Theodor Svedberg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1926)
- 5 Machi – Allan Nevins (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1933)
- 6 Aprili - Igor Stravinsky, mtunzi wa muziki kutoka Urusi
- 12 Aprili - Igor Tamm (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1958)
- 15 Juni - Wendell Stanley (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946)
- 18 Juni - Paul Karrer, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1937
- 1 Julai - Lawrence Bragg (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1915)
- 6 Julai - Louis Armstrong (mpuliza tarumbeta wa Jazz)
- 11 Septemba - Nikita Krushchov, kiongozi wa Umoja wa Kisovyeti 1953-64
- 20 Septemba - Giorgos Seferis (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1963)
- 21 Septemba - Bernardo Houssay (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1947)
- 29 Oktoba - Arne Tiselius (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1948)
- 9 Desemba - Ralph Bunche (mwanasiasa Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani, mwaka wa 1950)

