Tupac Shakur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tupac Shakur

Maelezo ya awali
Pia anajulikana kama 2Pac, Makaveli
Amezaliwa Juni 16, 1971(1971-06-16)
East Harlem, Manhattan,
New York City, New York,
Marekani
Asili yake California, Marekani[1]
Amekufa 13 Septemba 1996 (umri 25)
Las Vegas, Nevada, Marekani
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Rapper, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mtayarishaji wa rekodi, mshairi, mwandikaji muswaada andishi, mwanaharakati
Miaka ya kazi 1990 – 1996
Studio Interscope, Out Da Gutta, Death Row, Makaveli, Amaru
Tovuti 2paclegacy.com

Tupac Amaru Shakur (16 Juni 1971 - 13 Septemba, 1996) alikuwa mwigizaji, mwanaharakati wa haki za binadamu, na pia mwanamuziki maarufu wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama 2Pac. Ni mmoja kati ya wasanii wa hip hop waliouza rekodi nyingi za muziki dunia.

Huyu alikuwa mtoto wa Afeni Shakur, ambaye alikuwa mwanachama wa chama cha Black Panther Party. Mama yake Tupac alitolewa jela mwezi mmoja kabla ya kumzaa Tupac. Tupac alikufa mnamo tar. 13 Septemba katika mwaka wa 1996 baada ya kupigwa risasi akiwa anaendesha gari mjini Las Vegas, Nevada, siku saba kabla kifo chake.

Mara nyingi aliitwa 2Pac, Pac, Makaveli na pia mwenyewe akajiita The Don Kiluminati. Tupac, pia alishawahi kuishikiria Guinness World Record kwa kuwa na mauzo ya juu sana kwa msanii wa muziki wa rap/hip hop. Alipata mauzo takriban milioni 74 kwa hesabu ya dunia nzima na milioni 44 kwa mauzo ya Marekani pekee.

Yaliyomo

[hariri] Sanaa

[hariri] Muziki

[hariri] Filamu

Mwaka Jina la filamu Jina alilotumia Maelezo mengine
1991 Nothing But Trouble Himself (Brief appearance)
1992 Juice Bishop First starring role
1992 Drexell's Class Himself Season 1: "Cruisin'"
1993 A Different World Piccolo Season 6: "Homie, Don't You Know Me?"
1993 Poetic Justice Lucky Co-starred with Janet Jackson
1993 In Living Color Himself Season 5: "Ike Turner and Hooch"
1994 Above the Rim Birdie Co-starred with Duane Martin
1995 Murder Was the Case: The Movie Himself (Uncredited)
1996 Bullet Tank Released one month after Shakur's death
1997 Gridlock'd Ezekiel 'Spoon' Whitmore Released several months after Shakur's death
1997 Gang Related Detective Rodríguez Shakur's last performance in a film
2003 Tupac: Resurrection Himself Official documentary film
2008 Live 2 Tell Himself Expected in 2008
2009 Notorious Himself (archive footage) Portrayed by Anthony Mackie
2009 Untitled Tupac Shakur Biopic Himself (Announced)[2]

[hariri] Marejeo

[hariri] Viungo vya Nje

Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tupac_Shakur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi