Sanaa Lathan
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Sanaa Lathan |
|
|---|---|
|
|
|
| Jina la kuzaliwa | Sanaa McCoy Lathan |
| Alizaliwa | 19 Septemba 1971 Marekani |
| Kazi yake | Mwigizaji wa filamu. |
| Miaka ya kazi | 1996- hadi leo |
Sanaa McCoy Lathan (Amezaliwa tar. 19 Septemba 1971) ni mwigizaji mteule wa tuzo ya Tony (Tony Award) kama mwigizaji bora filamu wa kike Marekani.
Filamu alizoigiza Sanaa [hariri]
| Mwaka | Jina la Filamu | Jina alilotumia | Maelezo mengine |
| 2006 | Nip/Tuck | Michelle Landau | recurring role |
| 2006 | Something New | Kenya McQueen | |
| 2004 | Alien vs. Predator | Alexa Woods | |
| 2003 | Out of Time | Ann Merai Harrison | |
| 2002 | Brown Sugar | Sidney 'Sid' Shaw | |
| 2000 | Disappearing Acts | Zora Banks | |
| 2000 | Love & Basketball | Monica Wright | |
| 1999 | The Best Man | Robin | |
| 1999 | The Wood | Alicia | |
| 1998 | Blade | Vanessa Brooks |
Viungo vya Nje [hariri]
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sanaa Lathan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |