Allan Nevins
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Allan Nevins (20 Mei, 1890 – 5 Machi, 1971) alikuwa mwanahistoria na mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer mara mbili, kwanza mwaka wa 1933 kwa wasifu yake ya Grover Cleveland, na tena 1937 kwa wasifu yake ya Hamilton Fish.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Allan Nevins kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |