Grover Cleveland

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Grover Cleveland

Stephen Grover Cleveland (18 Machi, 183724 Juni, 1908) alikuwa Rais wa Marekani mara mbili, kuanzia mwaka wa 1885 hadi 1889, na tena kuanzia 1893 hadi 1897. Kwanza Kaimu Rais wake alikuwa Thomas Hendricks, mara ya pili Kaimu Rais alikuwa Adlai Stevenson.

[hariri] Tazamia pia

Administradors.gif Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grover Cleveland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine