James A. Garfield
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
James Abram Garfield (19 Novemba 1831 – 19 Septemba 1881) alikuwa Rais wa 20 wa Marekani kwa miezi michache tu mwaka wa 1881 hadi kifo chake. Kaimu Rais wake alikuwa Chester Arthur aliyemfuata kama Rais.
Tazamia pia[hariri]
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu James A. Garfield kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |